Tovuti ya Habari ya Ofisi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhmaa Sayyid Ali Khamenei

Kiongozi Muadhamu atoa msaada kwa walioathiriwa na njaa Somalia

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ametoa msaada wa Riali milioni mia mbili kwa ajili ya watu walioathiriwa na baa la njaa nchini Somalia.

Fedha hizo zimetumbukizwa katika akaunti nambari 99999 ya Jumuiya ya Hilali Nyekundu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwenye Benki ya Melli nchini Iran.

700 /